Jumatano, 8 Januari 2014

Kwa wale "fans" wa Diamond Platnumz, ujenzi wa nyumba yake unaendelea… tazama picha moja ya maeneo yakiendelea kujengwa!....!


Screen Shot 2014-01-08 at 10.10.01 PM 
 Ni nyota ambae kila jicho la habari limekua likimuangalia......
kila wakati, kila anachofanya hata kama ni cha kawaida tu, lakini kimekua ni stori na kinapata wepesi kuwafikia Watanzania bila yeye kuweka nguvu nyingi.

Pamoja na kwamba amekua kwenye headlines, Diamond amekua akisifika pia kwa kuthamini Watanzania wenzake na kuwapa ajira kupitia mgongo wake, amekua na timu anayozunguka nayo kila anapokwenda kwenye matukio yake lakini pia ameonyesha uzalendo zaidi kwenye ujenzi wa nyumba yake kwa kuwapa shavu la ujenzi Watanzania wenzake.

Huenda 2014 ukawa mwaka ambao mashabiki wake watashuhudia kumalizika kwa nyumba yake ambayo ni miongoni mwa maendeleo yake yaliyobadilisha fikra za vijana wengi wa Kitanzania kwamba muziki unalipa bigtime.

Hapa chini ni picha ya swimming pool a.k.a bwawa la kuogelea analolijenga nyumbani kwake ambalo baada ya kuweka hii picha, ameiambatanisha na hayo maneno hapo chini.

Screen Shot 2014-01-08 at 9.52.40 PM
Screen Shot 2014-01-08 at 9.48.16 PM

Maoni 2 :

  1. sipati picha kitu kikiisha mbona balaa.........sijui atapangisha???

    JibuFuta
  2. sipati picha kitu kikiisha mbona balaa.........sijui atapangisha???

    JibuFuta