Jumanne, 7 Januari 2014

Huyu ndio anasadikiwa kuwa ni mtu mnene kuliko wote duniani, Tazama picha zake hapa.

 
Paul-Mason mwenye miaka 53, kabla ya kupunguzwa une

Lionel Messi arudi uwanjani rasmi


Screen Shot 2014-01-07 at 10.18.32 PM
Baada ya kukaa benchi kwa zaidi ya.....

Tazama picha na kile alichoandika Lulu siku ya birthday ya Mama Kanumba.


l
Mama Kanumba atakuwa ametimiza miaka......

Huyu ndio mwanasiasa wa Zambia alieshtakiwa kwa kumfananisha Rais wa nchi hiyo na kiazi.


frank
Ni mwanasiasa wa Zambia anaitwa Frank Bwalya ambae amemiliki......

Hii ndio gharama kamili ya video ya “My Number One Remix”~Diamond Ft. Davido.


davido
Naseeb Abdul “Diamond” ameweka wazi kuhusu gharama za video yake ya...

Lile tukio la kujeruhiwa kwa msanii Mez B, tazama picha zake jinsi alivyochanwa visu na mtu asiejulikana.


2
Taarifa za msanii Mez B kushambuliwa na mtu asiemfahamu wala kuwa na......

Rapper Wakazi kuja na video mpya iliyofanyika katika baadhi ya mitaa ya Kariakoo na town Dsm. tazama baadhi ya picha.

wakazi 3
HEFEMI Studios ambayo ni kampuni ya Mtanzania anaeishi Marekani ndio inahusika....

Mwenyekiti wa Chadema Temeke Dar, apigwa na kutupwa ununio usiku, Soma na tazama picha hapa za tukio zima.


ununio1
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya......

Kuhusiana na ile taarifa ya boti iliyopata dhoruba Nungwi, hizi ni taarifa za idadi ya ambao hawajaonekana na waliofariki...


news update 
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Bahari Zanzibar Abdi Maalim amesema......

Mazungumzo ya Diamond kuhusu kinacho endelea kati yake na Wema Sepetu na ile movie yao 2014.


Screen Shot 2014-01-06 at 10.35.29 PM
Diamond alikua kwenye Exclusive interview ya.........

Kuhusu tukio la msanii wa chamber squard Mez B kuchomwa kisu.....

mez b
Msanii wa Chemba Squad Mez B Jumamosi iliyopita amechomwa kisu na...........