Ijumaa, 10 Januari 2014

Tazama picha za Roberto Carlos wa Brazil alipokutana na Wachezaji wa Yanga nchini Uturuki.


r2 
Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos...
amekutana na wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga kabla ya mazoezi.
Carlos Kwa sasa ni kocha wa timu ya Sivasspor iliyopo Ligi Kuu nchini Uturuki, Yanga pamoja na Sivasspor zimeweka kambi kwenye hotel ya Sueno Beach zikijiandaa na mashindano mbali mbali yanazikabil,Yanga wakiwa wameweka kambi kujiandaa na raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom wenzao Sivasspor wanajiandaa na mchezo kombe la chama cha soka nchini humo ambao utachezwa siku ya jumanne.
r3
r4
r5r2

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni