VIDEO: Tazama video mpya ya Mr. Flavour wa Nigeria, ambayo amemtumia Dillish wa BBA..
Mr
Flavour ni miongoni mwa Wasanii wachache wa Nigeria ambao wamewahi
kualikwa na kuja kufanya show nchini Tanzania, time hii ametuletea video
yake mpya ambayo ndani yake anaonekana Dillish ambae ni mshindi wa
shindano la Big brother Africa 2013.
Video inaitwa ‘Ikwokrikwo’ na imefanywa nchini South Africa chini ya
yuleyule mkali Clarence Peters ambae pia ndio alieifanya video ya
Diamond na Davido.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni