
Ijumaa, 3 Januari 2014
Tunda Man, Ali Kiba na Masogange kushoot video ya ‘Msambinungwa’ Kenya
Snura amshukuru Wema kwa kuwa mtu wa mwanzo kumsaidia wakati anaanza muziki
Karibia kila msanii ambaye amefanikiwa kwa namna yoyote huwa kuna mtu
aliyechangia kufika hapo alipo, upande wa Snura amemtaja mrembo Wema
Sepetu kuwa ndiye aliyefungua milango ya kuelekea kwenye mafanikio ya
muziki aliyonayo sasa.


Chege,Afande Sele,Belle 9,Nay wa Mitego, Young Killer na Madee wauelezea mwaka 2013 kimuziki
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)