Ijumaa, 10 Januari 2014

Tazama baadhi ya picha za Bball Kitaa chini ya mataa iliofanyika Jan 10 2014 Dsm!


bball9
Ni kweli kwa kipindi kirefu kwenye ardhi ya Tanzania tumezoea kwenda kwenye sehemu...
zilezile za starehe kama vile beach na bar lakini ni furaha yangu kwa sasa kuona vijana wa Kitanzania walioamua kutumia ubunifu wao kuleta kitu tofauti wanafanikiwa kwenye hii ya BBALL Kitaa.
Mkusanyiko hutokea mara kwa mara popote penye uwanja wa basketball, mechi inachezwa, msosi na vinywaji vinapatikana, marafiki mnakutana na wakati wote huu muziki unasindikiza, kingine kilichonivutia ni kwamba sasa hivi inakua kama ‘outing’ flani hivi yani uwanja upo ufukweni, ulinzi na usalama vinazingatiwa.
Sasa basi, zifuatazo ni picha za BBALL Kitaa chini ya mataa iliyofanyika kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2014  Januari 10 kwenye viwanja vya Gymkhana ambapo CBE na UDSM walikua wanakipiga ambapo CBE ndio washindi.
bball11
Hizi ni baadhi ya picha zikionyesha jinsi Bball kitaa ilivyokua.
bball8
Reuben Ndege, namfahamu kama mwanzilishi wa hii event ambayo siku hadi siku inazidi kuchukua zake headlines.
bball5
bball6
bball7
bball10
bball3
bball4
bball1
bball2

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni