Jumamosi, 28 Desemba 2013

Hivii, Matatizo humaliza pesa, Au Pesa humaliza matatizo???????


  • Mwanafunzi abakwa kikatili mkoani Singida….Sehemu zake za siri na makalio vyote vimeoza na vinaoa usaha

 
Mwanafunzi  wa kike,13, (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la tano katika shule ya Msingi

Picha: wafunga ndoa hadharani wakiwa uchi wa mnyama huko Marekani, waenda kuilia honeymoon lupango

1
Dunia haiishi mambo na vijimambo, bibi na bwana harusi waliojikita katika kutetea haki za kupiga

Diamond amtangaza rasmi Wema Sepetu kuwa ni Mchumba wake

1
Tukio hilo lilitokea  juzi  pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepe

Picha: Yanayofanyika ndani ya kumbi za starehe ni Aibu tupu

Mambo  yanayofanywa  na  akina  dada  ndani ya  kumbi  za  starehe  ni  aibu  tupu….Kama  ulikuwa  hujui, ukweli  ni  kwamba  asilimia 80  ya  warembo  wanaoingia  kujirusha  club  na  kwingineko  nyakati za usiku huwa  hawavai  nguo  za ndani  eti  kwa  kisingizio cha kuchubuka wakati  wakicheza
….
Kama  bado  huamini, basi tazama  picha  hapo  chini….
6

Binti mwenye nywele na sura ya kiume asimulia changamoto anazokumbana nazo

Queen ni mtoto wa 4 kati yya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume…..
Akiongea na Domo Langu kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo.
“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima.
“Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….
Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:
“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii”
1

Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China..



Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff, Chief Rocka amethibitisha taarifa zilisosambaa  kuwa msichana

Ijumaa, 20 Septemba 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJINI WASHINGTON D.C

   Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na Mhe. Rais Kikwete leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.…

PHOTOS: Chris Brown & Karrueche Surrounded By Ten Bodyguards While Partying Together In L.A.

 photo chriskaeparty1_zps1a05372c.jpg

 Chris Brown & Karrueche Tran are still boo'd up around L.A. together.  Peep the pics of them out last night inside, plus what Chris revealed during his live TV interview with DJ Skee...

Jumatano, 18 Septemba 2013

Twanga yapania usiku wa Mwafrika Bills leo

 BENDI maarufu ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ leo imepania kuporomosha burudani ya aina yake katika onesho la ‘Usiku wa Mwafrika’ ndani ya ukumbi wa kimataifa wa Club Bilicanas jijini Dar es Salaam leo.
Akizungumzia usiku wa leo, Meneja wa bendi ya Twanga Pepeta, Hassan Rehani, alisema kuwa wataendelea na amsha amsha ya kutoa shoo kali ambayo ana uhakika itawagusa wengi.
“Hivi sasa bendi yetu imedhamiria kufanya mambo makubwa ikiwa ni pamoja na kuwahi ukumbini na kuanza kutoa burudani mapema, ili kuhakikisha tunakonga nyoyo za mashabiki wetu wanaokuja Bilicanas na katika maonesho mengine,” alisema Rehani.
Hivi sasa Twanga Pepeta wanatamba na albamu inayokwenda kwa jina la ‘Nyumbani ni Nyumbani’ ukiwa ni utunzi wa mwanamuziki mwenye mvuto jukwaani, Kalala Hamza Kalala ‘Kalala Junior’.
Mbali ya Kalala, waimbaji wengine wanaopamba safu ya waimbaji ni pamoja na Luiza Mbutu, Haji Ramadhan ‘BSS’, Janet Isinika, Jumanne J4, Saleh Kupaza na wengineo. Kiingilio katika usiku wa leo ni sh 8,000.

Jumanne, 17 Septemba 2013

Jumatatu, 16 Septemba 2013

Obama awasiliana na rais mpya wa Iran

Obama akizungumza juu ya Iran 

Rais Obama anasema ameandikiana barua na rais mpya wa Iran, Hasan Rouhani.
Akihojiwa na televisheni ya Marekani, ABC, Obama alisema Iran inafahamu kuwa sera ya Iran ya kujaribu kuunda silaha za nyuklia ni swala kubwa zaidi kwa Marekani kushinda silaha za kemikali zilizotumiwa na Syria.
Rais Obama ametokeza mara nyingi kwenye televisheni za Marekani katika wiki za karibuni kuwakumbusha watu tishio la silaha za kemikali za Syria.
Jumapili aliulizwa jee Iran itafikiria vipi msuko-suko wa Syria?.
Rais Obama alisema amewasiliana na rais mpya wa Iran, Bwana Rouhani.
Na alisema kuna tofauti baina ya Iran na Syria.
Alikiri kuwa mradi wa nyuklia wa Iran unavotishia Israel, ni jambo lililo karibu na masilahi ya Marekani kushinda silaha za kemikali.
Aliongeza kusema kuwa mashindano ya kumiliki silaha za nyuklia yanaweza kutibua sana eneo hilo.
Akilinganisha Iran na Syria, Rais Obama alisema anafikiri Iran inatambua kwamba kuna njia ya kusuluhisha maswala haya kidiplomasia, ingawa alikiri kuwa ni vigumu kuzungumza na Iran.


Uchaguzi wa wabunge wafanyika Rwanda

 

Raia wa Rwanda milioni sita leo wanapiga kura kuwachagua wabunge katika mfumo wa vyama vingi vya kisiasa. Rwanda inasifika sana kwa kuwa na wanamama wengi kwenye nyadhifa za uongozi wa kitaifa.
Uchaguzi huu usio na upinzani mkubwa ni kama kupiga muhuri tu uongozi wa chama cha RPF chake Rais Paul Kagame ambacho kimekuwa uongozini tangu kumalizika kwa mauaji ya Kimbari mwaka 1994.

Mayweather adhihirisha ubingwa wake

 

Floyd Mayweather ameboresha umaarufu wake kama bingwa wa masumbwi baada ya kumshinda Saul Alvarez mjini Las Vegas.
Ushindi wa Mayweather mwenye umri wa miaka 36, umempa taji la WBC na WBA uzani wa kati. Pia ameshinda katika michuano yote 45 aliyopigana kama mwanamasumbwi wa kulipwa.

Arsenal yatembeza kichapo

Arsenal watamba 

Aaron Ramsey alishinda magoli 2 na kuiwezesha timu yake kuinyoa Sunderland 3-1 huku meneja Paolo Di Canio akipewa kadi nyekundu.
Goli la kwanza lilipatikana baada ya juhudi za mchezaji mpya aliyesajiliwa na Arsenal Mesut Ozil ambaye alimwandalia pasi murua Olivier Giroud aliyenusa nyavu.
Goli hilo lilisawazishwa na Craig Gardner muda mfupi baada ya mapumziko.

Magoli mengine mawili ya Arsenal yalitiwa kimiani na Ramsey na kuiwezesha timu yake kuandikisha ushindi wa mabao 3-1 ambao ni wa tano mfululizo.