Jumapili, 29 Desemba 2013
Jumamosi, 28 Desemba 2013
Picha: Yanayofanyika ndani ya kumbi za starehe ni Aibu tupu
Mambo yanayofanywa na akina dada ndani ya kumbi za starehe ni aibu tupu….Kama ulikuwa hujui, ukweli ni kwamba asilimia 80 ya warembo wanaoingia kujirusha club na kwingineko nyakati za usiku huwa hawavai nguo za ndani eti kwa kisingizio cha kuchubuka wakati wakicheza….
Kama bado huamini, basi tazama picha hapo chini….

Binti mwenye nywele na sura ya kiume asimulia changamoto anazokumbana nazo
Queen ni mtoto wa 4 kati yya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume…..Akiongea na Domo Langu kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo.
“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima.
“Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….
Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:
“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii”

Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China..
By domolangu on December 27, 2013
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
Mwanafunzi abakwa kikatili mkoani Singida….Sehemu zake za siri na makalio vyote vimeoza na vinaoa usaha