Huu ndio mpangilio wa jinsi Ronaldo na Messi walitakiwa kukaa.....
kwenye utoaji wa tuzo hii.
Usiku wa January 13 2014 huko Zurich ndio Cristiano Ronaldo wa Real
Madrid amekabidhiwa tuzo yake ya Ballon d’Or kutoka FIFA ambapo
zifuatazo ni pichaz za matukio mbalimbali kwenye utoaji tuzo huo.

Hapa ndio wanasikilizia, Ronaldo, Messi na Ribery.

Ndio anaichukua

.

Ronaldo alikwenda na mwanae kupokea tuzo yake

.

Ronaldo akitokwa machozi baada ya kutangazwa mshindi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni