Huyu ndio mchezaji bora wa dunia kwa Wanawake.
Huyu
ndiye Mchezaji bora wa kike wa dunia wa tuzo ya Ballon D’or leo jijini
Zurich, ni kipa wa timu ya....
taifa ya Ujerumani anaitwa Nadine Angerer.
Nadine
Angerer ambaye pia ni kipa bora wa Ulaya aliiwezesha Ujerumani kubeba
ubingwa wa Ulaya baada ya kutoa penalti mbili katika fainali dhidi ya
Norway.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni