Ijumaa, 3 Januari 2014

Madee amzawadia gari meneja wake kama zawadi ya.......……

1
Meneja kutoka Kundi la TipTop Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 – 2014 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambapo katika vitu ambavyo waliohudhuria hawakuvitarajia ni aina ya zawadi iliyotolewa na msanii wa siku nyingi ambae amekua chini ya Bab Tale, Madee.
Star wa huyu wa single mpya ya ‘tema mate tumchape’  aliamua kumzawadia gari aina ya  BB NEW MODEL lililoagizwa Japan na kumkabidhi mbele ya waliohudhuria akiwemo mwimbaji Amini, Ditto, Keisha, meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family Said Fela na watu wengine wengi.
IMG-20140102-WA0005
IMG-20140102-WA0017
IMG-20140102-WA0016

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni