
Naseeb Abdul “Diamond” ameweka wazi kuhusu gharama za video yake ya...
My Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria.
Diamond amesema gharama hizi hazijumuishi usafiri wala accommodation wakati wote walivyokua huko Nigeria.
Diamond amelipa dola 25,000 sawa na Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni