
HEFEMI Studios ambayo ni kampuni ya Mtanzania anaeishi Marekani ndio inahusika....
kuifanya hii video mpya ya rapper Wakazi ambae mwaka 2013 alipata nafasi ya kuonekana kwenye stage nyingine kubwa ya Africa Big Brother Africa (BBA,2013.the chase) na kuonyesha uwezo mkubwa.
Wakazi anakwambia hii video mpya ya sumu ya panga ‘my city’ itakufikia mwishoni mwa mwezi January 2014 ambapo imefanywa kwenye maeneo kadhaa ya Dar es salaam ikiwemo Mnazi mmoja na Kariakoo.

Wakazi na director msaidizi Mecky.

Wakazi na mashabiki wake.


Wakazi na Manager wake aitwae Thuwein.

Wakazi na Hefemi kwenye scene Kariakoo


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni