Jumanne, 7 Januari 2014

Huyu ndio anasadikiwa kuwa ni mtu mnene kuliko wote duniani, Tazama picha zake hapa.

 
Paul-Mason mwenye miaka 53, kabla ya kupunguzwa une
upasuaji maalum...


kabla ya kufanyiwa upasuaji maalum hapa juu..

Paul-Mason, baada ya kufanyiwa upasuaji

Baada ya kufanyiwa upasuaji huo alitakiwa kufanyiwa upasuaji wa kupunguza manyama yaliyozidi.


Paul Mason anamchumba wake wa Kimarekani Rebecca Fountain tangu karibia miaka ya 1980

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni