Jumanne, 7 Januari 2014

Lionel Messi arudi uwanjani rasmi


Screen Shot 2014-01-07 at 10.18.32 PM
Baada ya kukaa benchi kwa zaidi ya.....
siku 58 kutokana na majeraha, mkali wa soka Lionel Messi ameruhusiwa kurudi uwanjani rasmi baada ya kuonekana kuwa fit kiafya.
Inasemekana moja kati ya sababu ambazo zilimfanya messi kuumia ni ile hali ya kucheza mfululizo kila mechi bila kupata muda kutosha kupumzika.

Screen Shot 2014-01-07 at 10.12.10 PMScreen Shot 2014-01-07 at 10.18.32 PM

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni