Jumatatu, 13 Januari 2014

Tazama picha nyingine tofauti za tukio la kugawa tuzo za Ballon d’Or!!!

Huu ndio mpangilio wa jinsi Ronaldo na Messi walitakiwa kukaa kwenye utoaji wa tuzo hii.
Huu ndio mpangilio wa jinsi Ronaldo na Messi walitakiwa kukaa.....

VIDEO: Tazama video mpya ya Mr. Flavour wa Nigeria, ambayo amemtumia Dillish wa BBA..


Screen Shot 2014-01-14 at 1.56.25 AM 
Mr Flavour ni miongoni mwa Wasanii wachache wa Nigeria ambao

Ajali ya basi la Shabiby na Lori Singida.

4
Taarifa inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye...

Huyu ndiye kocha mkuu mpya wa Yanga.....


safe_image
Club ya Yanga kupitia Facebook Imemtangaza rasmi kwamba kocha..

Huyu ndio mchezaji bora wa dunia kwa Wanawake.


UEFA+-+Germany+Women+-+Nadine+AngererHuyu ndiye Mchezaji bora wa kike wa dunia wa tuzo ya Ballon D’or leo jijini Zurich, ni kipa wa timu ya....

Tazama yaliyojiri kwenye tuzo za Ballon d’Or? Ronaldo, Messi na wengine.....


1 
Mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2013 ni Cristiano Ronaldo

Ijumaa, 10 Januari 2014

Yaya Toure atwaa tuzo ya mwanasoka bora Africa 2013 "African footballer of the year Award"


yaya
Kwenye utoaji wa tuzo hii uliofanyika Lagos Nigeria, midfielder wa Ivory Coast…

Tazama picha za Roberto Carlos wa Brazil alipokutana na Wachezaji wa Yanga nchini Uturuki.


r2 
Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos...

Tazama baadhi ya picha za Bball Kitaa chini ya mataa iliofanyika Jan 10 2014 Dsm!


bball9
Ni kweli kwa kipindi kirefu kwenye ardhi ya Tanzania tumezoea kwenda kwenye sehemu...

Kutoka Kenya, jamaa amefufuka akiwa chumba cha kuhifadhia maiti...!


jamaa
Hii ni kutoka kwa majirani zetu ambapo tunaambiwa Wananchi wa Kenya wameshangazwa..

Mtoto mwenye umri wa miaka 6 anayelipwa zaidi ya milioni 12 kwa wiki...!!!!!!!!

dogo
Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ambaye anahusika kwenye series ya.....

Basi lililochomwa moto na Wananchi Singida likiwa safarini, baada ya kugonga bodaboda.

Screen Shot 2014-01-09 at 9.07.49 PM
Hii ni ajali ambayo imetokea njia Panda ya kwenda Arusha kama unatokea Singida, wakazi wa...

Jumanne, 7 Januari 2014

Huyu ndio anasadikiwa kuwa ni mtu mnene kuliko wote duniani, Tazama picha zake hapa.

 
Paul-Mason mwenye miaka 53, kabla ya kupunguzwa une

Lionel Messi arudi uwanjani rasmi


Screen Shot 2014-01-07 at 10.18.32 PM
Baada ya kukaa benchi kwa zaidi ya.....

Tazama picha na kile alichoandika Lulu siku ya birthday ya Mama Kanumba.


l
Mama Kanumba atakuwa ametimiza miaka......

Huyu ndio mwanasiasa wa Zambia alieshtakiwa kwa kumfananisha Rais wa nchi hiyo na kiazi.


frank
Ni mwanasiasa wa Zambia anaitwa Frank Bwalya ambae amemiliki......

Hii ndio gharama kamili ya video ya “My Number One Remix”~Diamond Ft. Davido.


davido
Naseeb Abdul “Diamond” ameweka wazi kuhusu gharama za video yake ya...

Lile tukio la kujeruhiwa kwa msanii Mez B, tazama picha zake jinsi alivyochanwa visu na mtu asiejulikana.


2
Taarifa za msanii Mez B kushambuliwa na mtu asiemfahamu wala kuwa na......

Rapper Wakazi kuja na video mpya iliyofanyika katika baadhi ya mitaa ya Kariakoo na town Dsm. tazama baadhi ya picha.

wakazi 3
HEFEMI Studios ambayo ni kampuni ya Mtanzania anaeishi Marekani ndio inahusika....

Mwenyekiti wa Chadema Temeke Dar, apigwa na kutupwa ununio usiku, Soma na tazama picha hapa za tukio zima.


ununio1
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya......

Kuhusiana na ile taarifa ya boti iliyopata dhoruba Nungwi, hizi ni taarifa za idadi ya ambao hawajaonekana na waliofariki...


news update 
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Bahari Zanzibar Abdi Maalim amesema......

Mazungumzo ya Diamond kuhusu kinacho endelea kati yake na Wema Sepetu na ile movie yao 2014.


Screen Shot 2014-01-06 at 10.35.29 PM
Diamond alikua kwenye Exclusive interview ya.........

Kuhusu tukio la msanii wa chamber squard Mez B kuchomwa kisu.....

mez b
Msanii wa Chemba Squad Mez B Jumamosi iliyopita amechomwa kisu na...........

Ijumaa, 3 Januari 2014

Madee amzawadia gari meneja wake kama zawadi ya.......……

1

Rais Kikwete aomboleza kifo cha waziri wa Fedha, mh. William Mgimwa

1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, M

Tunda Man, Ali Kiba na Masogange kushoot video ya ‘Msambinungwa’ Kenya

Tunda Man ,Ali Kiba pamoja na video Queen wa Bongo, Agness Gerald aka Masogange’ wanatarajia kwenda nchini Kenya kushoot video ya wimbo mpya ya Tunda Man ‘Msambinungwa’.
1

Snura amshukuru Wema kwa kuwa mtu wa mwanzo kumsaidia wakati anaanza muziki

Karibia kila msanii ambaye amefanikiwa kwa namna yoyote huwa kuna mtu aliyechangia kufika hapo alipo, upande wa Snura amemtaja mrembo Wema Sepetu kuwa ndiye aliyefungua milango ya kuelekea kwenye mafanikio ya muziki aliyonayo sasa.
snura2

Chege,Afande Sele,Belle 9,Nay wa Mitego, Young Killer na Madee wauelezea mwaka 2013 kimuziki

Wasanii wa muziki Chege, Afande Sele,Belle 9,Nay wa Mitego, Young Killer na Madee wamengufuka na kueleza jinsi muziki ulivyobadili maisha ya wasanii ndani ya mwaka 2013 pamoja na kiwanda chote cha muziki wa Tanzania. Hivi ndivyo walivyouelezea:
1

Millen Magese atajwa miongoni mwa wanawake warembo 20 barani Afrika- 2013

Jarida la Glitz Africa limetoa orodha ya wasichana 20 warembo zaidi barani Afrika (20 Most Beautiful Women in Africa) ambapo hata hivyo imetawaliwa na wanawake wa Nigeria na Ghana.
1Ni Millen Magese pekee amek